UGUMU WA MAISHA,NA UKOSEFU WA ELIMU YA MAZINGIRA VIJIJINI CHANZO CHA UHARIBIFU VYANZO VYA MAJI NA MAZINGIRA
Mazingira na uoto wa Asili wa Vijiji kutokana na hali ngumu ya maisha
huku wengine wakiwa wanafanya hivyo kutokana na ukosefu wa elimu
mbalimbali hasa elimu ya Mazingira bora hali ambayo inachangia kwa
kiwango kikubwa sana Vijjiji vingi kukabiliwa na Ukame
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa kijiji cha Nkoanekoli wilayani Meru
Mkoani hapa Bw. Christphoer Palangyo wakati akiongea na
“fullshangwe”mapema jana kuhusiana na hali ya uharibifu wa mazingira
ambayo inafanyika ndani ya eneo hilo

Bw Palangyo alisema kuwa hali ngumu ndio chanzo pekee ambacho
kinasababisha baadhi ya wananchi kuharibu mazingira hasa katika eneo
hilo la Nkoanekoli hali ambayo kama haitachukuliwa tahadhari basi
itasababisha Ukame wa hali ya Juu sana

Alifafanua kuwa asilimia kubwa ya wananchi hasa wa eneo hilo la
Nkoanekoli wanajishugulisha na shuguli za uchimbaji wa udongo ili
waweze kujikimu na hali ngumu za maisha ya kila siku huku wengine
wakiwa wanafanya hivyo bila ya kujua na kutambua kuwa hali hiyo ni
mbaya sana hasa kwa utunzaji wa Mazingira.

“Elimu ya utunzaji wa mazingira ni muhimu sana hasa kwa maeneo ya
vijijini kwa kuwa baadhi ya watu wanaharibu vyanzo mbalimbali na
malzingira kutokana na hali ngumu ya maisha na pia wengine hawajui
madhara ambayo yanaweza kutokea lakini kama watu wangekuwa wanapewa
elimu ya kutosha basi wasingeweza kuendelea kuharibu mazingira ambayo
ni chanzo kilimo kwanza ambacho nacho kwa sasa kimedorora sana hasa
katika maeneo ya Vijijini”aliongeza Bw Palangyo.

Akiongelea hali ya uharibifu wa mazingira hasa katika maeneo ya Kijiji
ckha Nkoanekoli alisema kuwa kwa sasa wananchi wengi wanachimba Udongo
ili waweze kujikwamua na hali ya Maisha huku hali hiyo ikisababisha
kwa kiwango kikubwa sana Mmonyoko wa udongo ndani ya Kijiji hicho.

Hataivyo alisema kuwa kutokana na hali hiyo Uongozi wa kijiji hicho
umelazimika kuingilia kati suala hilo ambapo mpaka sasa uharibifu ni
mkubwa sana hasa katika maeneo ambayo yapo kwenye vyanzo vya
maji(CHEMCHEM) huku hali hiyo pia ikichangia kwa kiwango kikubwa sana
baadhi ya vyanzo hivyo kukauka na kubaki vikiwa na hali ya ukame sana.

“hawa wananchi wa kijiji hiki ambao wanachimba Udongo kwa sasa
wamevamia hadi katika vyanzo vya maji na kuchimba bila kujua kuwa
kvyanzo hivyo ni muhimu sana hata kwan kata nyingine sasa kwa hali
kama hii imetulazimu kuanza kutoa elimu ya utunzaji wa mazingira kwa
nguvu sanjari na kutunga sheria kali hasa kwa hawa watu ambao ni
wachimba udongo kwani kama hali itaendelea kama hivi baada ya miaka
mitano hapa Meru patakuwa ni jangwa kabisa”aliongeza bw Palangyo

Alimalizia kwa kusema kuwa ni Vema kama Serikali pamoja na asasi
binafsi zikahakikisha kuwa zinajiwekeza zaidi vijijini ambapo ndipo
kwenye uitaji mkubwa sana wa utunzaji wa mazingira na Endapo kama
hawataweza kufanya hivyo basi baadhi ya wananchi kila mara wataharibu
mazingira huku wakijua kuwa wapo sahihi na wanachokifanya kwenye
uharibifu huo.

0 comments:
Post a Comment