UGUMU WA MAISHA,NA UKOSEFU WA ELIMU YA MAZINGIRA VIJIJINI CHANZO CHA UHARIBIFU VYANZO VYA MAJI NA MAZINGIRA

IMEELEZWA kuwa baadhi ya wananchi hasa wa Vijijini wanaharibu
Mazingira na uoto wa Asili wa Vijiji kutokana na hali ngumu ya maisha
huku wengine wakiwa wanafanya hivyo kutokana na ukosefu wa elimu
...